Recent Comments

Ujio wa Usher Raymond Tanzania July 10 sema hutomuona kirahisi


Ugeni mwingine ambao Tanzania imekua ikitarajiwa kuwa nao toka juzi ya July 9 2016 ni ujio wa mwimbaji staa kutoka Marekani Usher Raymond ambaye anakuja Tanzania na moja kwa moja kwenda mbugani Serengeti.
Taarifa zilizosogezwa karibu yangu ni kwamba Usher anacho kibali cha kuwinda na uwindaji ataoufanya ni kwa kutumia Upinde na mkuki na ni kuanzia July 10 mpaka 19.
Usher anakua sio staa wa kwanza wa dunia kuja mbugani Serengeti nchini Tanzania, wengine wengi wameshawahi kuja akiwemo Mtangazaji Oprah Winfrey ambapo wengi wao huja lakini kwa kutotaka kutangaza au ijulikane, mpaka akiondoka ndio unaona kapost kwamba alikuwepo Tanzania.
Nilipojaribu kuutafuta uongozi kupata taarifa za zaidi nimeambiwa mara nyingi Mastaa wengi hupenda kujificha wanapokuja na hata hawataki ijulikane na wakati mwingine hawataki kupigwa hata picha lakini ikitokea chochote millardayo.com itakusogez
Share on Google Plus

About BongoVitimbi

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. Read theses instructions for your template: http://meed-soratemplates.blogspot.in/p/meed-documentation.html

    ReplyDelete
  2. Hi! Is this the Free Meed template? I'm having problems with editing the menu on my site. It won't let me save when I add new links.

    ReplyDelete